Tuesday 10 February 2015

Maelfu wakaribisha mabigwa wapya wa mataifa ya Afrika nyumbani


Maelfu wakaribisha mabigwa wapya wa mataifa ya Afrika nyumbani


2585319C00000578-0-image-a-25_1423526764345
Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara akiwa na nahodha Yaya Toure wakati wakilitembeza kombe kwa mashabiki
Maelfu ya mashabiki wa soka nchini Ivory Coast wamefika kuwapokea mabingwa wa mataifa ya Afika Ivory Coast baada ya kuifunga Ghana kwa njia ya penati na kunyakua kombe hilo.Maelfu ya mashabiki walitanda mitaani ili kuwalaki wachezaji na viongozi kwa ushindi huo,Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara amewapongeza wachezaji na kusema ushindi wa Ivory Coast utaleta umoja na amani kwa nchi.
25850BF400000578-0-image-m-36_1423526932884
Polisi ilibidi kuamuru watu kubaki majumbani kwao sababu ya usalama baada ya uwanja uliokuwa umeandaliwa kwa ajili ya kuwalaki wachezaji na viongozi baada ya ushindi wa kihistoria wa kushinda kombe la mataifa ya Afrika huko Guinea ya Ikweta.
25850C7800000578-0-image-a-27_1423526836817
Wachezaji wa Ivory Coast wakishangilia ushindi huku wakilindwa na wanajeshi

clouds stream