Monday 16 February 2015

Shule kumi bora na shule kumi za mwisho Matokeo ya kidato cha nne 2014

Shule kumi bora na shule kumi za mwisho Matokeo ya kidato cha nne 2014

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) jana limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2014. Akitangaza matokeo hayo Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa Dk. Charles Msonde amesema ufaulu umepanda kwa asilimia 10 ambapo mkoa wa Tanga unashika mkia.
Ziifuatazo ni shule kumi zilizofanya vizuri
  • Kaizirege mkoa wa Kagera
  • Mwanza Alliance mkoa wa Mwanza
  • Marian Boys mkoa wa Pwani
  • St. Francis Girls mkoa wa Mbeya
  • Abbey mkoa wa Mtwara
  • Feza Girls mkoa wa Dar es salaam
  • Bethel sabs Girls mkoa wa Iringa
  • Marian Girls mkoa wa Pwani
  • Feza Boys mkoa wa Dar es laam.
Shule 10 za mwisho ni:
  • Manolo mkoa wa Tanga
  • Chokocho mkoa wa Pemba
  • Kwalugulu mkoa wa Tanga
  • Relini mkoa wa Dar es salaam
  • Mashindei mkoa wa Tanga
  • Njelekela Islamic Seminary mkoa wa Kigoma
  • Vudee mkoa wa Kilimanjaro
  • Mnazi mkoa wa Tanga
  • Ruhembe mkoa wa Morogoro
  • Magoma mkoa wa Tanga

clouds stream