Saturday 7 February 2015

Atletico yailiza Madrid ya Ronaldo 4-0

Atletico yailiza Madrid ya Ronaldo 4-0


Wachezi wa Atletico Madrid wakisherekea ushindi wao mbele ya Real Madrid
Wachezi wa Atletico Madrid wakisherekea ushindi wao mbele ya Real Madrid
Mabingwa wa Ulaya klabu ya Real Mdrid imepokea kichapo cha nguvu toka kwa watani wao wa jiji moja timu ya Atletico Madrid baada ya kulazwa kwa goli 4-0 huku mchezi bora wa dunia Cristano Ronaldo akicheza kwa mara ya kwanza baada ya kurejea  kutoka kifungoni.
Mvua ya magoli ilifunguliwa mapema dakika ya 14 baada ya kiungo wa zamani wa Chelsea Tiago kuandika bao la kwanza, Saul Niguez akafunga la pili dakika ya 18, wakati goli la tatu likifungwa na Antonie Griezman dakika ya 67 na Mario Mandzukic akakamilisha kalamu ya magoli kwa goli la dakika ya 89.

clouds stream