Monday 9 February 2015

Hivisasa: Ivory Coast Mabingwa Africa 2015


Hivisasa: Ivory Coast Mabingwa Africa 2015


IClineup-afcon2015
Timu ya Ivory Coast imetwa Ubingwa wa Afcon 2015 kwa mikwaju ya penati baada ya timu hiyo kushindwa kufungana na Ghana kwa dakika 120. Ivory Coast wameshinda kwa mabao 9 dhidi ya 8 ya Ghana

clouds stream