Tuesday 10 February 2015

Breaking News: Marco Reus asaini mkataba mpya na Borussia Dortmund


Breaking News: Marco Reus asaini mkataba mpya na Borussia Dortmund



reus
Marco Reus (katikati) akisaini mkataba mpya na timu yake ya Borussia Dortmund
Winga wa Borussia Dortmund Marco Reus  amesaini mkataba mpya na mabingwa hao wa zamani wa Bungesliga na kuondoa tetesi zilizokuwa zimezagaa kote duniani kuhusu kujiunga kwake na Real Madrid na Arsenal. Na mkataba wa Marco Reus unatajia kuiisha 2019.

clouds stream