Monday 9 February 2015

Walinzi 27 wa Rais Mugabe wasimamishwa kazi

Walinzi 27 wa Rais Mugabe wasimamishwa kazi

1179904_980004
Kufuatia tukio la kuanguka chini  Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, walinzi wake 27 wamepigwa  wasimamishwa kazi kutokana na tukio hilo. Tukio limetokea wakati  Rais Mugabe  akiwa uwanja wa ndege kwenye mapokezi baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa umoja wa Afrika.
Tukio hilo linaonekana kama ni uzembe na msemaji wa Rais Mugabe, George Charamba amesema hategemei kama walinzi hao watarudi tena kazini.

clouds stream