Monday 9 February 2015

Neymar asherekea siku ya kuzaliwa kwa staili


Neymar asherekea siku ya kuzaliwa kwa staili


2565B54D00000578-2942622-image-a-40_1423229970136
Neymar akiwa karibu ya keki iliyoandikwa No.23 ikionyesha idadi ya miaka aliyonayo
Mchezaji wa Brazil na timu ya Barcelona Neymar ametupia kwenye mtandao wake wa kijamii keki huku ikiwa inapambwa na vitu kibao kama kofia iliyoandika ‘njr’ inayomaanisha Neymar na vitu vingine kibao. Neymar ambae amefikisha miaka 23 na anaelekea kukomaa na miaka ya karibuni anaweza kuwa mchezaji bora wa Dunia baada ya kuwa mfungaji wa kutegemewa kwa timu yake ya Barcelona na Brazil.
257B15F800000578-2945080-image-a-11_1423438083202
Neymar akiwa na Lionel Messi kwenye ushindi wa 5-2 dhidi ya Athletico Bilbao

clouds stream