Tuesday 10 February 2015

Hatimaye Baloteli atoa nuksi, aipa ushindi liverpool.

Hatimaye Baloteli atoa nuksi, aipa ushindi liverpool.


258D36FE00000578-0-Mario_Balotelli_centre_scored_his_first_Premier_League_goal_for_-a-3_1423610274439

Goli la dakika za mwisho za mchezo la mchezaji mtukutu Mario Balotelli limeifanya Liverpool kupata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Tottenham.
Mchezo ulikuwa na ushindani mkubwa hasa kwa Liverpool ambayo ilikuwa inacheza nyumbani kwenye uwanja wa Anfield, Liverpool ndio ilikuwa ya kwanza kupata goli kupitia kwa beki waka wa kulia Lazar Markovic(15′) kabla ya Tottenham kurudisha kupitia kwa kinda ambaye ambaka sasa ameshatundika magoli 23 akiwa na Tottenham naye ni Harry Kane(26′).
258D514E00000578-0-The_maverick_Italy_international_centre_remains_calm_as_his_team-a-7_1423610303542
Magoli mengine yalifungwa na Steven Gerrard(53′), Balotelli 83′ na Dembélé 61′ kwa upande wa Tottenham. Mpaka mwisho wa mchezo kocha wa Liverpool Brendan Rodgers akiondoka uwanjani kwa furaha.

clouds stream