Tuesday 10 February 2015

Rubani wa Jordan alinyweshwa madawa kabla ya kuchomwa moto

Rubani wa Jordan alinyweshwa madawa kabla ya kuchomwa moto


254EF5F600000578-0-image-a-25_1423520164349
Tukio la kushangaza la kikundi cha kiislamu cha ISIS kumchoma rubani wa Jordan mpaka kufa, kuna mambo yamejulikana na baadhi ya wachunguzi wa suala na kudai kuwa alinyweshwa madawa ili asiweze kupiga kelele pindi moto utakapoanza kuunguza mwili wake. Tukio hilo la kuchomwa kwa rubani huyo kutoka Jordan Moaz al-Kasasbeh lilisababisha hasira kwa maafisa nchini Jordan mpaka kuanzisha mapigano na kikundi hicho cha ISIS na kufanikiwa kuwaua mateka wawili wa kikundi hicho.
254EF51800000578-0-image-m-24_1423520104864
Wachunguzi wengi wanasema kabla ya Moaz al-Kasasbeh kufanyiwa kitendo kile tayari alishakunywa madawa ambayo yaliua baadhi ya mifumo ili kuweza kumfanya asibaini maumivu yanayomkabili.

clouds stream